Hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la
Free Car Giveaway.
Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi
wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona shindano hilo
nikalazimika kulifanyia utafiti ili nijiridhishe nalo kabla sijaleta
habari zake hapa.
Pamoja na yote hayo, hapa naomba niseme jambo moja. Sitaki kusema
shindano hili ni halali/legit kwa 100% lakini nilichofanya kabla ya
kuleta mada hii ni kuichambua kampuni inayoendesha shindano husika.
Assumption ni kwamba, ikiwa shindano husika linaendeshwa na kampuni
halali basi HUENDA na shindano lenyewe likawa halali. Nilichofanya mimi
ni kutumia taarifa zilizotolewa na kampuni husika kisha nikazichunguza
kwa kupitia external sources.
Ikiwa utahitaji kulisoma kwa makini shindano lenyewe na ikiwa unataka kujaribu, basi linapatikana hapa
https://carfromjapan.com/en/campaign/car-from-japan-grand-giveaway-2017?refer=58bcf7b88abb210001e449d2
UTAFITI WANGU & SUPPORTING EVIDENCE
1. Physical Address: Kwanza nilichukua physical address iliyowekwa na hiyo kampuni. Adress yao ni hii hapa chini:
Nikataka kufahamu ikiwa kweli hiyo address ipo na hiyo kampuni
inapatiakana kwenye hilo jengo. Google Map na Google Street Map
ikathibitisha hayo yote mawili:
EVIDENCE 2: Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA):
JUMVEA ni Jumuiya ya Wasafirishaji Magari huko Japan na wamethibitishwa
na Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda ya Japan. Watu wanashauriwa
kabla ya kuagiza gari/magari kutoka Japan wahakikishie kwanza kampuni
wanayotaka kufanya nayo biashara ni mwanachama wa JUMVEA.
Ukitaka kuufahamu UHALALI wa JUMVEA soma angalizo la Ubalozi wa Kenya nchini Japan. Screenshot na
link ya habari husika ni hii
hapa.
Kwahiyo hapo utaona Ubalozi wa Kenya unawaasa Wakenya kabla hawajaagiza
magari wahakikishe dealer husika ana uhalali wa kufanya kibiashara na
amesajiriwa na JUMVEA. Bila shaka ushauri huu ni muhimu hata kwetu sisi
Watanzania. Aidha ni ushauri mzuri kwako hata kama huna haja na hili
shindano.
Hapa nikataka kujiridhisha ikiwa kampuni inayooendesha hili shindano
imesajiriwa na JUMVEA na nimethibitisha ni kampuni halali inayofanya
biashara halali na ni mwanachama wa JUMVE. Hata hivyo, unaweza
kuthibitisha wewe mwenyewe mbali ni hizi screenshots:
Ikiwa hadi hapo umeridhika na ungetamani kujaribu bahati yako, hilo linafayika kwa kutumia hii link:
Free Car Giveaway
Kama vipi, tuendelee na uchambuzi wetu. Ukiangalia kwenye hiyo screenshot, unakuta hao
Car From Japan ni
Safe Trade Member.
Safe Trade Member
ni Car Exporter anayekuhakikishia usalama wa pesa yako wewe mnunuaji
hata kama pesa umeshamtuma lakini gari haijasafirishwa. Bila shaka,
kampuni inayoingia kwenye hili group ni lazima ithibitishwe ina uwezo wa
kufanya biashara bila magumashi:
Kwa mara nyingine, hata kama huna haja ya kujaribu hili shindano kumbe
tayari na wewe utakuwa umefaidika na taarifa hiyo hapo juu siku
utakapotaka utakapotaka kuagiza gari kutoka Japan. Ili kujihakikishia
usalama wa pesa yako, hakikisha dealer husika ni member wa Jumvea Safe
Trade. Kwa maelezo zaidi, hawa ndio
JUMVEA
Kwa hofu ya kuifanya makala hii kuwa ndefu sana, naomba niishie hapa lakini
sina shaka wengi wetu tutakuwa tumejiridhisha kwamba shindano husika
linaendeshwa na kampuni halali inayofanya biashara kihalali na
inatambuliwa na mamlaka husika. Kwahiyo, ikiwa unataka kujaribu bahati
yako, unaweza kufanya hivyo kupitia link:
Free Car Giveaway
hii imechukuliwa
JF By