Hali hii ilifikia hapa baada ya Marekani kuelekeza meli yake ya kivita kutokea bahari ya Pacific na kuchagizwa zaidi na maneno ya raisi wa Marekani Donald Trump ambapo alioneshwa kuchoshwa na kutoendelea kuivumilia Korea Kaskazini kwa majaribio ya nyukilia
Raisi wa Korea Kaskazini baada ya kuona kitendo cha Marekani kuonesha nia ya kuingilia Korea kivita, amesema hata nyamaza bali ataishambulia Marekani kwa sila zake za nyukilia
China imezishauri nchi zote mbili kuwa hakuna mshindi katika vita. China inajaribu kukaa kando isi jiingize katika vita hii japo kuwa inaoneka kuwa ni vita baridi.
No comments:
Post a Comment